KALA JEREMIAH KU-RELEASE NEW SONG

Msanii aliyejizolea tuzo tatu za kill Award 2013 kwa categories tofauti za hip hop na kuweza kujizolea wigo wa mashabiki kwa ngoma zake kibao.
Kala Jeremiah ni msaani aliegusa hisia za wasanii na wadau wa muziki wa Bongo fleva kwa kuitoa tuzo yake ya mwana-hip hop bora katika familia ya Marehemu Albert Mangwair kwa ajili ya kukumbuka ya mchango wa msanii CowObama.
Na soon Kala Jeremiah anategemea ku-release wimbo wake mpya unaoitwa ’Jaribu Kujiuliza’ siku ya j,tano tarehe 14 mwezi huu, kaa tayari kuusikiliza ujionee punch za maana.

Leave a Reply