video ya Me and you ya Ommy Dimpoz ft Vanessa mde kuzinduliwa Feb ,10
MAISHA CLUB
Msani wa kizazikipya Ommy dimpoz Juma pili hii atazindua rasmi video yake ya wimbo Me and You aliyo mshirikisha Vanessa mdee,,Video hii imefanywa na Ogopa ,Dj wa nchini kenya
Wakati wa uzinduzi huo msanii ommy dimpoz atasindikizwa na wasani wenzake wakiwemo Diamond ,Mwana FA ,Dully sykes na Performances kitoka kwa wasani wakaki afrika mashariki