Calender ya Nonin ya Colour kwa Face

Calender ya Nonin ya Colour kwa Face


Katika kampeni yake dhidi ya ukatili wanaofanyiwa walemavu wa ngozi nchini kenya ,Mgenge Nonini ametoa kalenda maalum za colour kwa face ambapo mapato yote yatakayo patikana na mauzo ya kalenda hiyo yataenda kusaidia kampeni hiyo.

Hi ni picha ya mwezi februari katika kalenda hiyo.

Leave a Reply