
Sasa staring wa Wanawake Live ‘Joyce Kiria’ anakuja na msimu mpya (New season) ambao utahusisha matukio mbalimbali yaliyojili katika jamii yetu.
Msimu mpya wa Wanawake Live utaanza kurushwa kupitia chanel yako ya EAtv tarehe 20/8/2013 siku ya Jumanne saa 3 usiku.
Usikose kutupia jicho lako ili kujionea mengi na makubwa yaliyojili katika jamii yetu, Wanawake Live ni nguvu ya Mwanamke kwa kila Mwanamke.