Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee watua Nairobi kushoot video ya ‘Me and You

Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee watua Nairobi kushoot video ya ‘Me and You’


 
Video hiyo inafanywa na kampuni ya Ogopa Dj’s ambayo hivi karibuni ilishoot video ya Diamond, Kesho. Me and You ni single ya tatu ya Ommy yenye mafanikio makubwa

Leave a Reply