MCHEZAJI BORA WA DUNIA

MCHEZAJI BORA WA DUNIA.

Mchezaji bora wa dunia, Leonel Messi, jana usiku aliifungia timu yake ya Barcelona na baadaye kuonesha mipira ya dhahabu minne aliyopewa kama tuzo ya kuwa mchezaji bora wa dunia mara nne mfululizo.

Hata hivyo katika mchezo huo wa kombe la mfalme, Barcelona waliruhusu wapinzani wao Malaga waliokuwa pungufu ya mtu mmoja kusawazisha dakika za mwisho na kuifanya mechi iishe kwa mabao mawili kwa mawili

Leave a Reply